ZEC yafuta matokea Zanzibar


Wananchi wakiwa na hamu ya kupokea matokeo ya Urais nchini hapo, leo hii mwenyekiti wa tume hiyo amesitisha mchakato huo wa utangazaji matokea kwa kutoa sababu kadha wa kadha juu ya mapungufu yaliyojitokeza katika mchakato huo.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment