Justin Beiber ang'ara katika tunzo za MTV (EMA)


Justin Bieber poses with his awards at the MTV EMAsUlikuwa usiku mzuri kwa msanii Justin Beiber baada ya kufanikiwa kondoka na tunzo tatu ikiwa ni pamoja Best male, Best look, Biggest fans, Worldwide act: North America na Best collaboration.
Wasanii wengine waliotamba usiku huo ni pamoja na Ed Sheeran alieopa tunzo mbili huku wenginie kama Rihanna, Taylor Swift, Diamond platnumz, kundi la One direction na wengine wengi wamepata tunzo moja.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment