Jopo la majaji hao watatu waliokuwa katika mahakama hiyo walitumia kifungu hicho kuzuia aina yoyote ya makutano baada ya tukio la kupiga kura.
Jopo hilo liliongeza kwa kusema “Katika jengo linalopigiwa kura ambalo baadaye linageuka kuwa la kuhesabia kura hairuhusiwi kuonekana nembo ya chama chochote, picha ya mgombea ama alama yoyote itakayoonyesha ni mwanachama wa chama fulani.
“Umbali wa mita 200 hairuhusiwi kuonekana mabango, bendera, picha, nembo na vitu vingine vyovyote vitakavyoonyesha uanachama wa chama fulani,”
Tamko hilo limewafanya wadai hao kukata rufaa baada ya kutoridhika na maamuzi hayo yaliyotolewa na majaji hao watatu.
0 comments:
Post a Comment