Matokeo yanayotolewa na tume yamezidi kushangaza watanzania wengi baada ya kushuhudia wabunge mashauri kutemwa katika majimbo yao.Hii imeshuhudiwa katka majimbo yale yaliokuwa yanaongozwa na wabunge mashuhuri kama Stephen Wassira, Anna Kilango, Aggrey Mwanri, Christopher Chiza, Abbas Mtevu, Stephen Kebwe, Kiwia, Lembeli na Vincent Nyerere.
Ukiachia mbali mshangao kwa wabunge hao walioanguka ni pamoja na uamuzi wa mgombea Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya CUF kutangaza matokeo yake kama Rais wa Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment