Kesi ya Hissene Habre yasomwa mahakamani nchini Chad

 
Aliyekuwa Raisi wa Chad katika mwaka 1982 na 1990 amefikishwa kizimbani na kesi yake kusomwa mbele ya mahakama hiyo.
Inaelezwa kuwa aliwatumia askari Polisi waliokuwa katika kikosi cha siri katika kutekeleza utesaji dhidi ya wapinzani wake. Utesaji uliofanyika na Raisi huo ni pamoja na kuwatetemesha kwa umeme watu, kuwapulizia gesi machoni, kuwasugulia pilipili katika sehemu za siri na kuwanywesha kiasi kikubwa cha maji.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment