
Katika harkati za Jeshi la Polisi kuhakikisha swala la amani
na utulivu nchini Tanzania linaimarika kipindi cha uchaguzi, Jeshi
hilo limeongea na wanasiasa pamoja na viongozi wa dini kuhakikisha dhamira hiyo
inafanikiwa.
RPC wa kinondoni aliwaomba wanasiasa kuepukana na swala la
uchochezi katika majukwaa ya kisiasa, huku akiwasisitiza wachukue jukumu la
kuwaelimisha wanajamii juu ya haki zao za msingi katika kipindi hichi cha
uchaguzi.
Aidha kamanda huyo aliwatazama viongozi wa dini pia na kuwaomba waungane nae
katika harakati hizo za kuhakikisha amani ndani ya nchi inadumishwa, swala hilo
likakaziwa na Shekhe kwa kuonyesha umuhimu wa amani nchini.
0 comments:
Post a Comment