
Benki ya Maendeleo yaadhimisha siku yake ya kuzaliwa jijini Dar es Salaam kwa kutembelea shirika la kuhudumia watu wenye asili ya albino. Katika maadhimisho hayo, benki hiyo ilitoa msaada wa vifaa kama mafuta na miwani, ambavyo ni sawa na shilingi milioni 2.5 za Tanzania.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment