Taifa Starz 2 - 2 Algeria

Mabao mawili yaliopachikwa na Mbwana Samata na Eliasi yamenyamazishwa na washambuliaji wa Algeria na kufanya mechi kuwa sare ya mabao mawili kwa mbili.
Huku tukitazamia kipindi cha kwanza goli pekee lilopatikana katika dekika 45 za mwanzo la Elias, M jezi namba 15 liliiweka Taifa Starz kifua mbele dhidi ya timu hiyo hatari ya Algeria.
Hadi kufikia mwisho wa kipindi cha kwanza tumeshuhudia mshambuliaji Mbwana Samata akipoteza nafasi takribani tatu na Ulimwengu nae akipoteza mbili.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment