Mohammed Emwazi alikuwa raia wa Uingereza ambaye alionekana akishiriki katika mauaji ya waandishi wa habari kutoka Marekani kama Steven Sotloff, James Foley pamoja na Kenji Goto mwandishi wa habari kutoka Japani kupitia video zilizorushwa mitandaoni.
Japo tukio hilo limeonekana kuwa muhimu na la kujivunia lakini viongozi wengine wa kisiasa kama Jeremy Corbyn, wameliona kuwa si jema bali ingekuwa vyema akamatwe na kufunguliwe mashtaka.
0 comments:
Post a Comment