Mechi ya Ujerumani na Uholanzi yahirishwa kwa hofu ya milipuko

Mchezo wa kirafiki baina ya Ujerumani na Uholanzi umehairishwa baada ya uvumi uliotanda kuwa kuna milipuko katika uwanja huo wa Hannover
Zoezi la kuzuia hatarishi hiyo ilianza masaa mawili kabla ya mchezo hiyo kwa kuwatoa mashabiki wote waliokuwa wameshakusanyiika katika uwanja huo.
Nae Chancellor Angela Merkel ambae alikuwa anaelekea uwanjani hapo kushusuhudia timu yake ilimbidi arudi kwake kuepusha hatarishi hiyo.
Hii inakuwa ni mchezo nyingine kuairishwa kwa hofu ya usalama na tetesi za uwepo wa milipuko uwanjani.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment