TIB kuanza mradi wa Coco Beach Park

Benki ya maendeleo ya TIB ikishirikiana na manisipa ya Kinondoni ipo mbioni kuanza ujenzi wa Coco beach park ikiwa ni mwendelezo baada ya kuvumbua mchoro wa ujenzi huo, nia kubwa ya ujenzi huo ni kuziendeleza fukwe za jijini Dar es Salaam.
Ujenzi huo unatarajia kuongeza vivutio katika fukwe za Dar es Salaam ambazo zitachangia ongezeko la pato la Taifa kupitia huduma zitakazotolewa pahala hapo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment