Hatima ya Taifa Starz kukwea pipa kwenda Urusi kwa ajili ya kombe la Dunia imekwama hivi leo baada ya kupokea kichapo kikali kutoka kwa Algeria.
Matokeo hayo ya mchezo yanakamilisha dekika 180 kwa mabao 9 ndani ya nyavu za Tanzania na 2 ndani ya nyavu za Algeria.
Mechi hiyo iliyoambatana na kadi nyekundu kwa mchezaji wa Taifa Starz yanakuwa ndiyo mwisho wa safari ya Tanzania.
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment