Ni Daimond na Vanessa tena

Ulikuwa ni usiku mwingine mkubwa kwa Tanzania baada ya kushuhudia maborozi wa nchi hii Diamond na Vanessa wakirejea mara nyingine na tunzo nne mkononi.
Diamond amefanikiwa kupata tunzo tatu; Msanii bora wa mwaka, Nyimbo bora ya mwaka na Msanii bora wa Afrika Mashiriki.
Vanessa Mdee alinyakuwa tunzo ya miondoko ya kiafrika, nao Sauti Sol waliopoa tunzo ya kundi bora la mwaka.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment