Kikundi hicho cha IS kimethibitisha kuhusika kwa mashambulizi hayo sita kama majibu ya mashambulizi ya anga yaliyofanywa juu yao hivi karibuni.
Tukio hilo limemlazimu Rais wa Ufaransa, Francois Hollande, kufunga mipaka ya nchi hiyo na kuwasambaza wanajeshi takribani 1,500 kwa ajili ya kuongeza ulinzi lakini pia kudhibiti tukio lingine kama hilo kutokea katika maeneo mengine ya jiji hilo la kibiashara.
0 comments:
Post a Comment