Maelfu ya wahamiaji katika safari yao Ulaya



Maelfu ya wahamiaji waliwasili nchini Austria baada ya serikali ya Hungary kutoa mabasi ya kuwasafirisha ambapo walipokelewa na shirika la msalaba mwekundu wakionekana wamechoka lakini wakiwa na furaha.
Mabasi hayo yalianza kuwasili siku ya Ijumaa mjini Budapest, kwenye kituo cha Keleti, ambacho kimekuwa kambi mbadala ya maelfu ya wahamiaji.  
Hatua hiyo imefuatia juhudi zinazoendelea za Mataifa ya Umoja wa Ulaya kukabiliana na ongezeko kubwa la wakimbizi.
Alfajiri ya Jumatatu, maelfu wa wahamiajia hao walianza kuwasili Ujerumani na kupokelewa vyema na wakazi wa nchi hiyo.

A welcome for migrants at Frankfurt Airport rail station, Germany, 6 September 2015Huku Waziri Mkuu wa Waingereza akisitiza kuwa wako tayari kupokea maelfu ya wakimbizi katika nchi hiyo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment