Rekodi hiyo aliyoiweka leo, inakuwa rekodi mpya juu ya Bibi yake Mkubwa Malkia Alexandrina Victoria.
Waziri Mkuu David Cameron amesema kuwa ataongoza hafla hiyo maalum iliyoandaliwa kwa Heshima ya Malkia huyo itakayofanyika katika Bunge la Juu na kisha kufuatiwa na salamu za kijeshi jirani na medani za Mto Thames.Katika hafla hiyo muhimu kwa Malkia Elizabeth, atatumia gari alilotumia bibi yake mkubwa katika hafla yake kama hiyo karne za nyuma.
0 comments:
Post a Comment