Uchaguzi Morocco

Zoezi la upigaji kura nchini Morocco limemalizika katika siku ya Ijumaa, huku Chama tawala cha PJD ikitumia uchaguzi huo kama kipimo cha uongozi wake chini ya Waziri Mkuu Abdelilah Benkirane.
Chama hicho kimekuwa madarakani tangu Mwaka 2011, na kuweka historia ya kuwa chama cha kwanza cha kiislamu kaskazini mwa bara la Afrika kushinda uchaguzi mkuu na cha kwanza kuongoza serikali.
Kuhusu uchaguzi huo, Waziri Mkuu Abdelilah Benkirane amesifu mchakato mzima wa upigaji kura kwa kumalizika bila dosari, huku akisitiza kuwa demokrasia itasimamiwa vyema.
Watu takribani milioni 15 walitegemewa kushiriki katika mchakato zoezi hilo la upigaji kura, huku jumla ya wagombea 140,000 wakiwa wagombea katika uchaguzi huo, huku waangalizi 76 kati ya 4,000 wakitoka nje ya Morocco.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment