Mchezaji huyo mwenye wa miaka 20 anaekipigia Manchester United ametia saini B Dortmund kwa mkopo hivi leo.Hernandez kukipiga Ujerumani
Mchezaji huyo aliyekuwa akikipigia kwa mkopo msimu uliopita Real Madrid kabla ya kurejea Manchester United mwanzoni mwa msimu huu, anategemea kuwaaga mashetani wekundu kwa kutia saini katika timu ya Bayern Leverkusen.
0 comments:
Post a Comment