Ilikuwa ni majira ya saa tisa alasiri ambapo chama hicho kilianza mahadhara huo katika jiji la Dar es salaam, Mbagala.
Mkutano huo uliongozwa na Kiongozi wa chama, Mh. Zitto Kabwe, aliewatambulisha wagombea ubunge wa jiji la Dar es Salaam na wagombea Uraisi wa Tanzania Bara na visiwani.
0 comments:
Post a Comment