Msanii huyo wa miondoko ya Hip pop, Kanye West, alitangaza dhamila yake ya kukimbilia Ikulu ya Marekani almarufu kama "White House" katika hafla ya ugawaji tuzo za MTv.
"Nimeamua mwaka 2020 kugombea urais," Kanye West alisema haya baada ya kupokea tuzo ya msanii mwenye mfanikio zaidi katika tasnia ya muziki (career achievement award) pindi alipopewa kipaza sauti azungumze machache baada ya kupokea tuzo hiyo.
0 comments:
Post a Comment