Mchezaji huyo anaekipigia klabu ya Manchester United, amefanikiwa kuvunja rekodi ya mwanasoka wa zamani Sir Bobby Charlton baada ya kufanikiwa kupachika mabao 50, bao moja zaidi ya Bobby.Bobby amekuwa kinara wa magori kwa mda zaidi ya miaka arobaini, na amekuwa akienziwa kwa mda mrefu kama mmoja wa wachezaji muhimu wakihistoria waliotoa mchango mkubwa katika soka la Uingereza.
Goli la Rooney, 84, kwa njia ya mkwaju wa penati uliifanya Manchester United kufikisha idadi ya magori 8 ndani ya mechi mbili walizocheza katika harakati za kufunzu kwenda Ufaransa kucheza kumbe la Ulaya mwaka kesho.
0 comments:
Post a Comment