Bilionea wa Misri kuwanunulia kisiwa wahamiaji



Bilionea na mfanyabiashara mkubwa wa Misri , Sawiris, amesema anampango wa kununua kisiwa katika bahari ya Mediterranean kwa ajiri ya wakimbizi waliyoko Ulaya.
Tajiri huyo hakuishia hapo bali aliongeza kuwa atajenga nyumba zakutosha idadi ya watu takribani 100,000-200,000 pamoja na huduma zingine kama mashule, hospitali, hoteli na vyuo kwa ajiri ya wahamiaji hao katika kisiwa hicho.

Mediterranean
Mediterranean
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment