Rooney aweka historia mpya

Ross Barkley and John StonesUshindi waliopata England wa magoli 6 dhidi ya San Marino, umeipatia timu hiyo tiketi ya kufunza katika EURO16 mwaka kesho, nchini Ufaransa.
Magoli yalifungwa na Rooney (13), Brolli (30), Barkley (46), Walcott (68,78) na Kane (77).
Pamoja na furaha ya ushindi wa mabao sita, kwake Rooney ilikuwa siku ya kihistoria baada ya kufikia idadi ya magori 49 sawa na yale ya mkali wao wazamani Sir Bobby Charlton.
Ushindi uliofuatia katika mechi illiyofuata ilimfanya mshambuliaji huyo kuwa mchezaji aliefunga magoli mengi zaidi kuliko mchezaji mwingine Uingereza. 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment