Senegal Air yapotea



Ndege hiyo iliyokuwa ikiruka ikielekea Senegal ikitokea Bukina Faso, Senegal Air, imepotea ikiwa na watu saba ndani yake.
Ndege hiyo ilipotea kutoka kwenye rada muda mfupi baada ya saa moja jioni ya Jumamosi iliyopita.
Vikosi vya uokoji vimekuwa vikijitahidi kuitafuta ndege hiyo inayohofiwa kuangukia baharini.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment