Ukiachia mbali madawa ya kulevya yamesababisha utengani wa Lamar Joseph Odom na mke wa Khole Kadarshan lakini pia nafasi yake katika kikosi cha Los Angeles Clippers.
Mchezaji huyo wa kikapu alietamba kwa rekodi nzuri katika ligi kuu ya Marekani (NBA) chini ya Los Angeles Clippers na Los Angeles Lakers, kwasasa amekuwa akipigania maisha yake katika hospitali ya Vegas nchini hapo.
Lamar alianza kikapu akiwa chuo katika kikosi cha Rhode Island Rams kabla ya kutimikia Los Angeles
Clippers mwaka 1999. Baada ya kucheza kwa misimu minne pale Clippers alikimbilia Miami Heats na badae kujiunga na Lakers kwa misimu saba kabla ya kujiunga na Dallas, na baadaye kurejea Clippers mwaka 2012.
Lamar ni mtoto pekee katika familia yao, ambapo amelelewa zaidi na bibi baada ya mama yake kufariki akiwa na miaka 12 kutokana saratani huku baba yake akiwamtumwa wa madawa ya kulevya.
Kwa habari zaidi unaweza tembelea: http://www.tmz.com/person/lamar-odom/#ixzz3ozz8Hrzc
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment