Mwanadada maarufu kwa mchezo wa tenesi amegoma kustaafu na kusisitiza kuwa anajifua vilivyo ilikushiriki katika kombe la Hong Kong Open. Hii inatokana na baada ya kukubwa na maradhi siku za karibuni.
Mchezaji huyo aliupata umaarufu huo zaidi kupitia mataji saba ya Grand Slam na kufanya jumla ya mataji 47 katika uchezaji wake.
Baada ya ushindi wa katika michuano ya Wuhan wiki iliyopita Venus alifikisha mechi 700 za kimashindano huku akipanda chati na kufikia nafasi ya 14 kwa kiwango cha ubora kwenye mchezo kwa upande wa wanawake duniani.
0 comments:
Post a Comment