Ni matumbo joto kwa wasanii wa Afrika wakiwa wanasubiria tunzo za Afrimma kutangazwa. Tukio ambalo litafanyika tarehe 10/10/ 2015 huku Tanzania ikishuhudia wasani wake wengi wakishindanishwa katika vipengele vingi kama ile ya msanii bora wa kiume na kike.
Daimond, Alikiba, Ommy Dimpoz, Vanessa Mdee, Khadija Kopa, Mjomba ni baadhi ya wasanii kutoka Tanzania wanaoshindanishwa katika vipengele mbalimbali vya Tunzo hizo.
0 comments:
Post a Comment