Hatimaye siku ile iliyokuwa ikisubiriwa na wengi imetimia na wengi wamefanikiwa kushiriki katika mchakato huo wa upigaji kura.
Pamoja na wengi kupata nafasi ya kupiga kura lakini bado wapo ambao hawakufanikiwa kupata fursa hiyo kutokana na sababu kadha wa kadha; wapo waliokosa nafasi ya kupiga kura kutokana na ucheleweshaji wa kuanza zoezi hilo, wengine wakikosa majina yao katika orodha ya majina, wengine wakikosa majina yao katika kitabu cha kudumu cha wapiga kura na wengine kukimbilia nchi jirani kutokana na hofu ya usalama wao.Pamoja na wengi kukosa fursa hiyo lakini kuna baadi ya vituo ilihairisha zoezi hilo kutokana na sababu kama za usalama.
0 comments:
Post a Comment