Kituo kilichopewa jina "Kikwete Youth
Park" kimefunguliwa na kupewa jukumu la kukuza na kuendeleza vipaji kwa watoto chini ya miaka 18 na zaidi.Kituo hicho cha kisasa kimejengwa na kampuni ya Symbion Power chini ya udhamini wa klabu ya Sunderland, England ambapo mafunzo yote yatatolewa na uongozi wa Sunderland.
Mpira wa miguu, kikapu na mpira wa wavu ni miongoni mwa michezo itakayofundishwa katika kituo hicho.
0 comments:
Post a Comment