Jose alijikuta akitolewa nje ya uwanja mapema tuu kabla ya kipindi cha pili kuanza, pamoja na Jose kupata adhabu hiyo msaidizi wake nae allijikuta akitolewa pia nje ya uwanja baada ya kuonyesha utovu wa nidhamu pia.
Chelsea ilijikuta ikikubali kichapo kwa wapizani wake West Ham United ya mabao mawili dhidi ya moja waliolipata.
0 comments:
Post a Comment