Ongezeka la ada South Africa la sitisha

Embedded image permalink
Rais Zuma amesitisha mpango wa kuongeza ada katika vyuo nchini humo. Uamuzi huo umekuja baada ya wanafunzi wa vyuo hivyo kuandamana katika mji wa Pretoria kupinga mpango huo uliotangazwa hivi karibuni.
Matokeo ya maandamano hayo ni pamoja na vyuo kufungwa, jambo ambalo hilo limekuja baada ya wanafunzi hao  kufanya vurungu katika mitaa mbalimbali iliyopo nchini hapo hususani Pretoria na hivyo kuwalazimu polisi kuingilia kati.

Students throw stones against riot police officers during their protest against university tuition hikes outside the union building in Pretoria, South Africa, Oct. 23, 2015.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment