Jumla ya vituo vya kupiga kura ni 72,000
Idadi ya wagombea Uraisi ni 8
Idadi ya wagombea Ubunge katika majimbo 264 ni 1,218
Idadi ya wagombea Udiwani katika kata 3,957 ni 10,897
Idadi ya wapiga kura walioandikishwa ni milioni 22.7
Idadi ya majimbo ambayo uchaguzi umeahirishwa hadi sasa ni majimbo matatu
Idadi ya kata 4 uchaguzi umeahirishwa hadi novemba 22
Muda wa kufungua vituo ni kuanzia saa moja asubuhi na kufungwa saa kumi jioni.
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment