Wananchi wa Congo Brazzaville wamekataa kuongeza mhula kwa Rais


Denis Sassou Nguesso mwenye umri zaidi ya miaka 70 aliomba mabadiriko ya katiba ili apate fursa ya kuongoza mhula mwingine wa kuwania kiti cha Uraisi lakini wananchi hao wamepinga mabadiliko hayo aliyokuwa anayataka ya raisi huyo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment