Tanzania kuzima mitambo ya umme inayotumia maji

Serikali ya Tanzania imesema kuwa itazima mitambo ya umme inayotumia maji hivi karibu kutokana na vina vya maji vinavyozalisha umeme huo kupungua kwa kiwango kikubwa.
Tukio hilo limepelekea kwa uzalishaji hafifu wa umeme katika nchi ya Tanzania na hivyo kusababisha nchi kuwa migawa ya umeme mara kwa mara.
Hadi sasa Tanesco imeamua kuzima mitambo ya maji ya Mtera.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment