Zikiwa zimebaki siku kadhaa Guinea kufanya Uchaguzi mkuu, kumezuka vurugu kubwa ambapo takribani watu wawili waliuawa na 33 kujeruhiwa katika mapigano yalitokea siku ya Ijumaa kati ya wafuasi wa Raisi Alpha Conde na mpinzani wake mkuu.
Katika harakati za Vyombo vya usalama kukomesha machafuko hayo, askari kumi na wanane walijeruhiwa.
Upinzani umemkuwa ukitaka uchaguzi uahirishwa kwa madai kuwa umegubikwa na sintofahamu madai ambayo yamekuwa yakikanushwa vikali na chama tawala.
0 comments:
Post a Comment