Taifa Starz yaioindosha Malawi

Ushindi wa Malawi katika mechi ya marudiano nchini Malawi haujafanikiwa kuipatia timu hiyo nafasi ya kufuzu katika harakati za kuendelea kutafuta tiketi ya kushiriki katika kombe la Dunia la mwaka 2018, Russia.
Hii inatokana na Taifa Starz kuruhusu bao moja tuu katika mechi ya Jumapili ambapo goli halikuizuia Taifa Starz kusonga mbele.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment