Brazili 7-1 Haiti

Brazil celebrate.Naam huku Estonia wakilia na kipigo cha bao 7 bila kitu dhidi ya Ureno nao Haiti walijikuta katika hali ya majonzi baada ya kukubali kichapo cha bao saba kwa moja kutoka kwa wakali hao wa samba.
Mabao kutoka kwa Gabriel dekika ya 59, Lucas Lima dekika ya 67, Marcelin dekika ya 70, Augusto dekika ya 35 na 86 na Continho dekika 14, 29 na ile ya dekika za nyongeza 91, magoli yali-ithibitishia Brazili point 6 muhimu na kuwa timu ya pili baada ya Chile kuvuka hatua ya makundi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment