Wengi walimfahamu kama the BIG BOSS kwa kuiongoza timu ya Nigeria almarufu kama SUPER EAGLES.
Kocha huyo aliweza kuiongoza Nigeria hadi mwishoni mwa mwaka 2014 na kuweza kutwa kombe la mataifa ya Afrika mwaka 2011.
Steven Keshi alizaliwa namo mwako 1964, huku mwaka 1994 akatwaa kombe hilo akiwa kama mchezaji muhimu ndani ya kikosi hicho.
Katika safari yake ya soka, aliweza kukipiga Belgium kabla ya kwenda kujifua mafunzo ya ukocha.
Miongoni mwa-vikosi alivyofundisha ni nje ya Nigeria ni pamoja na Mali
0 comments:
Post a Comment