COPA AMERICA 2016

 
Ni michuona ambayo inatarajiwa kupigwa kuanzia tarehe 4 ya mwezi Juni, huku nyota mahili kama Lionel Messi, Angel di Maria, Chicharito, Luis Suarez, James Rodriguez, Neymar, Alex Sachez na wengine wengi wataonekana katika michuano hiyo ya Copa America.

Ukiachia mbali majina ya mastaa hao mahili, wapo ambao watakosa michuano hiyo mikali. Miongoni mwao ni mlinda mlango namba moja wa Real Madrid, Navas ambaye pamoja na kuwa mlinda mlango tegemezi katika klabu yake, lakini nafasi amekakosa.

WEEK 1
4 JUNE 2016
USA Vs COLOMBIA

5 JUNE 2016
COSTA RICA Vs PARAGUAY
HAITI Vs PERU
BRAZIL Vs ECUADOR

6 JUNE 2016
JAMAICA Vs VENEZUELA

MEXICO Vs URUGUAY

7 JUNE 2016
PANAMA Vs BOLIVIA

ARGENTINA Vs Chile





Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment