Ulikuwa ni mchezo wa kirafiki baina ya mataifa hayo mawili, huku kila mmoja akilisakama lango la mwenzake lakini vijana wa Ureno walionekana imara zaidi na hivyo kuchomoza na ushindi kwa kulisakama lango la wapinzani wao bila makosa.
Ni katika kipindi cha kwanza vijana wa Ureno wanafanikiwa kupachika mabao matatu kupita Ronaldo katika dekika ya 36 & 45 na Quaresma dekika ya 39.
Napo katika dekika ya Pereira anaipatia Ureno bao jingine dekika ya 55 kabla ya Mets wa Estonia kujifunga namo dekika ya 61
Nae Quaresma anaongeza bao lake la pili dekika ya 77 kabla ya Eder kufunga bao la mwisho.
0 comments:
Post a Comment