
Ilikuwa ni majonzi kwa mashabiki wa Uruguay baada ya kukubali kipigo cha bao tatu kutoka kwa vijana wa Mexico.
Pereira alikuwa mtu wa kwanza kuipatia Mexico goli baada ya kujifunga namo dekika ya 4 ya kipindi cha kwanza.
Goli hilo lilidumu hadi dekika ya 73 baada ya Godin kuisawazishia Uruguay.
Vijana wa Mexico walionekana kuimarika zaidi na kulisakama goli la Uruguay na hivyo kuongeza magoli mawili kupitia Marquez dekika ya 84 na Hector Perrera dekika ya 91.
0 comments:
Post a Comment