Lukaku alifunga goli la kwanza dakika ya 48 ya kipindi cha pili huku goli la pili wakipata dakika ya 61 kupitia Witsel na kwa mara nyingine tena katika dakika ya 70 ya mchezo Lukaku aliifungia timu yake ya taifa.
Kwa ushindi huu unaiweka ubelgiji nafasi ya pili kwenye kundi E wakiwa na point 3 nyuma ya Italia wanaoongoza kwa point 6.
Mechi inayofuata ya Ubelgiji ni dhidi ya Sweden inayoongozwa na Zlatan Ibrahimovic siku ya Jumatano.
Habari hii imeandaliwa na mwandishi wetu Hashim Chambuso
0 comments:
Post a Comment