Ni Josef Martinez ambaye amefanikiwa kuipa venezuela raha ya Copa Amerika.
Hii ni baada ya kufanikiwa kupata bao la dekika za mwanzo za kipindi cha kwanza. Kwa matokeo hayo yanaipa Venezuela point 3 kwa bao moja.
Pamoja na Jamaica kupoteza mchezo huo lakini pia wanapoteza mchezaji wao mmoja kwa kadi nyekundu.
Kwa matokeo haya yanaipa fursa Venezuela kuwa na imani ya kusonga mbele pindi watakapo fanikiwa kuzoa point nyingine 3 katika ijayo.
Kikosi kizima cha Venezuela
Mlinda mlango: Jose Contreras (Deportivo Tachira), Wuilker Farinez (Caracas), Dani Hernandez (Tenerife)
Walinzi: Wilker Angel (Deportivo Tachira), Rolf Feltscher (Duisburg), Alexander Gonzalez (Huesca), Roberto Rosales (Malaga), Jose Manuel Velazquez (Arouca), Mikel Villanueva (Malaga), Oswaldo Vizcarrondo (Nantes)
Viungo: Juan Pablo Anor (Malaga), Arquimedes Figuera (La Guaira), Alejandro Guerra (Atletico Nacional), Yangel Herrera (Atletico Venezuela), Romulo Otero (Huachipato), Adalberto Penaranda (Granada), Tomas Rincon (Genoa), Carlos Suarez (Carabobo), Luis Manuel Seijas (Internacional)
Washambuliaji: Yonathan Del Valle (Kasimpasa), Josef Martinez (Torino), Salomon Rondon (West Brom), Christian Santos (NEC)
Kikosi kizima cha Jamaica
Mlinda mlango: Andre Blake (Philadelphia Union), Duwayne Kerr (Stjarnan), Ryan Thompson (Saint Louis FC)
Walinzi: Rosario Harriott (Harbour View FC), Michael Hector (Reading), Kemar Lawrence (New York RB), Adrian Mariappa (Crystal Palace), Wes Morgan (Leicester City), Damano Solomon (Portmore United), Jermaine Taylor (Portland Timbers), Joel Grant (Exeter)
Viungo: Rodolph Austin (Brondby IF), Michael Binns (Portmore United), Chevone Marsh (Cavaler Sports Club), Joel McAnuff (Leyton Orient), Garath McCleary (Reading), Andrew Vanzie (Humble Lion FC), Je-Vaughn Watson (New England Revolution), Lee Williamson (Blackburn Rovers)
Wamaliziaji: Giles Barnes (Houston Dynamo), Clayton Donaldson (Birmingham City), Allan Ottey (Montego Bay United), Dever Orgill (IFK Marieham)
0 comments:
Post a Comment