BRAZIL yaaga mashindano


Brazil imeaga mashindano baada ya kupokea kichapo cha bao moja na PERU.
Ulikuwa ni mchezo wenye mvuto ambapo kila timu ilikuwa inatizama mechi hiyo kama tiketi ya kusonga mbele.
Ni nafasi moja adimu iliyotengenezwa na kiungo Andy Polo na kumaliziwa vyema na Raul Ruidiaz katika dekika ya 75 kuilaza Brazil katika mchezo huo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment