HODGSON TUMBO JOTO Unknown - 6:16 AM 0 Edit Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza atatimuliwa endapo Uingereza itafanya vibaya kwenye mashindano ya UERO yanayoendelea nchini Ufaran...
VARDY KUBAKI LEICESTER Unknown - 4:31 AM 0 Edit Kwa kipindi kirefu Arsenal Wenger amekuwa akiwania saini ya Vardy kutoka Leicester City, kocha huyo aliamini kwa dau la paund mil 20 ingeku...
LUKAKU AIZAMISHA IRELAND Unknown - 2:21 PM 0 Edit Mshambuliaji huyo wa Everton Romelu Lukaku ashinda mabao mawili akiisaidia timu yake ya Ubelgiji dhidi ya jamhuri ya Ireland. Lukaku alif...
DUNGA ATIMULIWA BRAZIL Unknown - 2:55 PM 0 Edit Kocha huyo ametimuliwa baada ya kushindwa kuiongoza Brazil vyema kwenye michuano ya Coopa America. Pamoja na ushindi aliopata dhidi y...
BRAZIL yaaga mashindano Unknown - 11:19 PM 0 Edit Brazil imeaga mashindano baada ya kupokea kichapo cha bao moja na PERU. Ulikuwa ni mchezo wenye mvuto ambapo kila timu ilikuwa inatizama ...
Brazili 7-1 Haiti Unknown - 7:48 PM 0 Edit Naam huku Estonia wakilia na kipigo cha bao 7 bila kitu dhidi ya Ureno nao Haiti walijikuta katika hali ya majonzi baada ya kukubali kichapo...
Portugal 7 - 0 Estonia Unknown - 7:33 PM 0 Edit Timu ya taifa Ureno(Portugal) imefanikiwa kuchomoza na ushindi wa bao saba kwa bila dhidi ya Estonia. Ulikuwa ni mchezo wa kirafiki baina...
Steven Kesh aaga dunia Unknown - 2:04 AM 0 Edit Ni majonzi katika nchi ya Nigeria baada ya kumpoteza kocha wao Steven Kesh. Wengi walimfahamu kama the BIG BOSS kwa kuiongoza timu ya Nige...
Mexico 3 - 1 Uruguay Unknown - 10:09 PM 0 Edit Ilikuwa ni majonzi kwa mashabiki wa Uruguay baada ya kukubali kipigo cha bao tatu kutoka kwa vijana wa Mexico. Pereira alikuwa mtu wa kw...
VENEZUELA 1-0 JAMAICA Unknown - 2:24 PM 0 Edit Ni Josef Martinez ambaye amefanikiwa kuipa venezuela raha ya Copa Amerika. Hii ni baada ya kufanikiwa kupata bao la dekika za mwanzo za...
MATOKEO COPA AMERICA 2016 -USA Unknown - 2:21 PM 0 Edit 4 JUNE 2016 USA 0 Vs 2 COLOMBIA 5 JUNE 2016 COSTA RICA 0 Vs 0 PARAGUAY HAITI 0 Vs 1 PERU BRAZIL 0 Vs 0 ECUADOR
Muhammad Ali aaga dunia Unknown - 10:53 AM 0 Edit Ni Muhammed Ali, wengi walimfahamu kama mkali wa ngumi, hasa kwa wale ambao walipata fursa ya kumuona akiwa ulingoni. Aliweza kujizolea...
COPA AMERICA 2016 Unknown - 12:16 PM 0 Edit Ni michuona ambayo inatarajiwa kupigwa kuanzia tarehe 4 ya mwezi Juni, huku nyota mahili kama Lionel Messi, Angel di Maria, Chicharito, L...
UHURU WA MWANAHABARI UKO WAPI? Unknown - 2:08 AM 0 Edit Tangu kale katika kisomo changu nimekuwa nikielezwa kuwa kuna uhuru wa mwanahabari, nikaelezwa pia juu ya uwepo wa taasisi mbalimbali z...