Ni vijana wa Pep hao, wanapata ushindi muhimu sana huku kocha akionekana akiunda kikosi kipya chenye itikadi mpya ya soka.
Napo mfumo unadhihirisha kuwa kocha huyo ameanza kwa kuweka bechi wachezaji wote ambao hawapo katika mfumo wake kama Joe Hart na Yaya Toure.
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment