SJMC FRESHERS (BALL PARTY)


Itakuwa ni 5/12/2015 ambapo SJMC itawakaribisha wanafamilia wapya kupitia hafla iliyoandaliwa na uongozi wa chuo hicho ikishirikiana na serikali ya wanafunzi.

Hafla hiyo inayotarajia kutamatisha hafla zote zilizofanyiika katika Chuo Kikuu cha Dar es salaam, hafla hiyo inatarajia kuwa yenye mvuto zaidi kuliko zile za vitivo vingine.

Itagharimu mchango wa shilingi ELFU KUMI TUUUU kupata huduma zote za msingi kama usafiri katika sehemu zote za shughuli, chakula cha usiku, vinywaji pamoja na ku-club mpaka pakuche.

Hafla hiyo  inataanzia main campus UDSM, pale shuttle point na kuelekea JAGWANI sea breeze, ambapo huko kutakuwa na michezo mbalimbali ya beach ikiwemo mpira wa mkono na wa miguu.

Club INFINITE ndio itakuwa sehemu ya tatu ya siku hiyo, ambapo wageni waalikwa (freshers) watapata chakula cha usiku pamoja na wenyeji wao.

Naam baada ya msosi pamoja na talent show zikisindikizwa na vinywaji, hafla hiyo itamalizika na
EKOTI TE ya KOFI OLOMIDE ndani ya klabu infinite.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment