Lionel Messi atwaa Ballon'dOr kwa nyingine


Lionel Messi amezidi kuweka historia katika dunia ya soka baada ya kutwaa tunzo ya mchezaji bora kwa mara ya tano.
Mchezaji huyo mahiri anaekipigia FC Barcelona amezidi kuonyesha upekee wake katika hususani katika  club yake na timu ya Taifa baada ya kutoa michango mikubwa na kuwa tegemezi zaidi.
Nae mwana-dada Carli Lloyd alishuhudiwa akipokea tunzo ya mchezaji bora katika upande wa wanawake, huku kocha wake Messi akitunukiwa tunzo ya kocha bora.
Historia ya soka katika kizazi hiki kimekuwa ni cha ushindani wa watu wawili (Messi na Ronaldo)ambao kwa sasa huwezi ukawafanananishana vizazi vingine na mchezaji mwingine yoyote katika karne ya sasa. Hili jambo tunalithibitisha kwa kutizama kila mwaka vijana hawa wawili ndiyo wamekuwa waking'ara katika tunzo hizo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment