Liverpool 0 vs 4 Mainz


Ilikuwa nifuraha kwa vijana wa Anfield siku ya jana kwa kuichapa Barcelona lakini leo imekuwa majonzi baada ya wakali hao kupokea kipigo cha bao 4 na vijana wa Mainz.
Bao la kwanza lilipatikana kupitia Cordoba dekika ya 45, huku mabao mengine yakipatikana kupitia Malli na Muto katika dekika ya 59 na 75.
Kwa taarifa zaidi tazama mchezo huu hapa

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment