Majogoo hao wenye usemi wao "you will never walk alone" likiwa lina ashiria umoja ndo kila kitu kati ya mashabiki na wachezaji.
Wakali hao walianza vyema kwa ushindi dhidi ya washika bunduki lakini leo wameadhibiwa
Alikuwa ni Gray alietumia nafasi mbili adimu kumaliza kiu ya mashabiki wa timu yao ya ushindi.
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment